Bunge launda kamati maalum kuchunguza mienendo ya Waziri Linturi

Описание к видео Bunge launda kamati maalum kuchunguza mienendo ya Waziri Linturi

Kamati maalum ya wanachama 11 imebuniwa kumchunguza Waziri wa Kilimo Mithika Linturi baada ya bunge la kitaifa kuidhinisha hoja ya kumbandua. Masaibu ya Waziri Linturi yakifuatia sakata ya mbolea ghushi iliyoikumba wizara yake. Na kama Seth Olale anavyoarifu, wabunge 149 walipiga kura kuunga mkono hoja ya kubuniwa kwa kamati hiyo huku wabunge 36 pekee wakipinga

Комментарии

Информация по комментариям в разработке