Okello Max - Kung Fu (feat. Bien & Bensoul [Official Lyric Video])

Описание к видео Okello Max - Kung Fu (feat. Bien & Bensoul [Official Lyric Video])

Producer :- So Fresh

Songwriter(s) :- Julius McRymboh, Bienaime Baraza Alusa, Benson Mutua

Mix and Master Engineer :- Trevor Magak

Electric Guitars :- Polycarp Otieno & Benjamin Kabaseke

Lyric video :- Print Division Ke / Wanyoez

Photography :- Shem Obara

*Kungfu Kitandani ft Bien & Bensoul with English translations*

Intro
Aaaah
Mutoto ya Pamela
(Pamela’s son)

Naskia kelele kwa jirani
(I hear commotions from my neighbor)
Kwani ni vita
(Are they arguing?)
Ama hii ni raha gani
(Or what kind of pleasure are they on?)
Mwengine anasema aaah
(One says aaaaah)
Mwengine anasema uuuh
(The other answers uuuh)
Kwani mapenzi imegeuzwa kuwa kungfu
(Since when did love making turn to Kungfu)
Na vile kwangu kunabore
(I am so bored at mines)
Naskiza mafranco
(Just listening to some Franco)
Hii ploti itanifanya niwe whore
(These apartments will turn me to being a whore)

Pre-hook
Action night
Watoto walale by 9
(The kids should be in bed by 9)
Nikudunge vaccine
(I will inject you with some vaccine)
Leo movie ni ya shaolin
(Tonight’s movie is Shaolin)

Hook
Vita vya kikungfu kungfu
(This is a kungfu war)
Dj Afro kuja utangaze drama
(Dj Afro please come do commentary)
Vita vya kichinku chinku
(This is China war)
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
(I’ll massage your back before the match)
Tumefungana pingu pingu
(We are in cuffs)
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
(One on the legs the other on the bed)
Okello Mano kungfu kungfu
Bien Mena kungfu kungfu

Woi woi mama!
Woi Woi mama!
Unazunguka kama nyoka, Anaconda
(You move like a snake, anaconda)
Woi Woi mama!
Woi Woi mama!
Unateleza kama mrenda, Haki nimependa
(It slides like jute mallow, am in love)
Kiss it better vile napenda
(Kiss it better just the way I like it)
Mix ya broiler na kienyeji vibes
(A mix of uptown and upcountry girl, vibes)
Hebu geuza oh Cheriè samaki hailiwi pande moja
(Change position ooh Cheriè, the other side of a fish is always eaten)
Action time!

Pre hook
Action night
Ufike kwangu by 9
(Be at my place by 9)
Nimetema taxin
(I’ve already spat the taxin)
Amenyoa shaolin
(She’s shaved Shaolin!)

Hook
Vita vya kikungfu kungfu
(This is a kungfu war)
Dj Afro kuja utangaze drama
(Dj Afro please come do commentary)
Vita vya kichinku chinku
(This is China war)
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
(I’ll massage your back before the match)
Tumefungana pingu pingu
(We are in cuffs)
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
(One on the legs the other on the bed)
Okello Mano kungfu kungfu
Sudah Mano kungfu kungfu

Cheriè nipeleke Thailand
(Cheriè take me to Thailand)
Na mimi nikupeleke Bangkok, yeah
(I’ll take you to Bangkok, yeah)
Tuishi juu ya island
(Let’s live on an island)
Tuishi maisha ya kibailando, yeah
(Let’s live a Caribbean life, yeah)
Kuja tufanye mambo mambo
(Come let’s do the thing)
Nikukunje nikufunze angle angle
(Let me teach you some angles)
Movie na soundtrack ya Bango bango
(It’s a movie with Bango soundtracks)
Action unapewa ni ya Rambo
(You’ll receive some Rambo action)

Pre hook
Action night
Ufike kwangu by 9
(Be at my place by 9)
Nimetema taxin
(I’ve already spat the taxin)
Amenyoa shaolin
(She’s shaved Shaolin!)

Hook
Vita vya kikungfu kungfu
(This is a kungfu war)
Dj Afro kuja utangaze drama
(Dj Afro please come do commentary)
Vita vya kichinku chinku
(This is China war)
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
(I’ll massage your back before the match)
Tumefungana pingu pingu
(We are in cuffs)
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
(One on the legs the other on the bed)
Sudah Mano kungfu kungfu
Bien-iame a kungfu kungfu
Okello Mano kungfu kungfu

#BOSSALBUM
#OKELLOMAX

Комментарии

Информация по комментариям в разработке