EXCLUSIVE : DULLA MBABE AKITOLEA UFAFANUZI KIFINYO ALICHOCHEZEA UINGEREZA | AANIKA JANJAJANJA....

Описание к видео EXCLUSIVE : DULLA MBABE AKITOLEA UFAFANUZI KIFINYO ALICHOCHEZEA UINGEREZA | AANIKA JANJAJANJA....

Bondia Mtanzania Dulla Mbabe atolea ufafanuzi na maelezo ya ndani kuhusiana na kifinyo matata "KO ya uso kukutana na ngumi'' alichochezea nchini Uingereza Machi 31,2024, Ambapo bondia huyo alikalishwa kwa KO nzito na kulamba ulingo...

Stori zikasambaa ndani ya mitandao ya kijamii na kushika kasi kwenye kurasa mbalimbali za michezo nchini Tanzania ikiwemo huku kila mtu akisema lake.

Dulla ana nini cha kujibu dhidi ya kichapo hicho, huyu hapa kwenye LEO TENA anajibu yote kwa ufafanuzi maelezo..

Комментарии

Информация по комментариям в разработке