MAAJABU YA CHUMBA CHINI YA BAHARI, RAIS AMEWAHI KUFIKA, KULALA USIKU MMOJA NI ZAIDI YA MIL. 4

Описание к видео MAAJABU YA CHUMBA CHINI YA BAHARI, RAIS AMEWAHI KUFIKA, KULALA USIKU MMOJA NI ZAIDI YA MIL. 4

#underwaterroomPemba #millardayoUPDATES
Huwenda umewahi kusikia kuwa kisiwa cha Pemba kuna chumba cha kulala chini ya Bahari, Chumba hiki kimekuwa maarufu kutoakana na watu kutoka mataifa mbalimbali kuvutiwa na Hoteli hii iliyopewa jina la Manta Resort ili uweze kulala hapa kwa usiku mmoja utatakiwa kulipa dola 1,900 sawa na Milioni na Laki tatu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке