Heka Heka 24th May 2013

Описание к видео Heka Heka 24th May 2013

Lilikuwa juma lingine la vimbwanga vya wanasiasa na wanasiasa, huku kila upande ukijaribu kuonyesha usogora wake na ubabe wa ni nani anayefaa na ziara za bunge zatshili kuwaje, lakini pia ilibainika kwamba wabunge pengine hawaelewi maslahi zaidi ya wabunge jinsi anavyoelezea mwanahabari wetu Josephat Odipo katika mahaka ya juma hili ya heka heka.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке