Wakaazi na wafanyibiashara wapata afueni Mukothima

Описание к видео Wakaazi na wafanyibiashara wapata afueni Mukothima

Ni afueni kwa Wakaazi na wafanyibiashara wa eneo la Mukothima kaunti ya Tharaka nithi baada ya kujengwa kwa daraja lililosombwa na maji ya mafuriko. Wakazi walikuwa wakihangaika kuvuka hadi upande wa pili ili kuendelea na shughuli zao wakiwemo wanafunzi walioshindwa kufika shuleni. Wiki chache zilizopita watu wawili waliaga dunia baada ya kusombwa na maji walipokuwa wakivuka mto. Ujenzi wa daraja hilo ulifadhiliwa na afisi ya mwakilishi wa kike kaunti ya Tharaka Nithi Susan Ngugi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке