Gavana Johnson Sakaja ahojiwa kuhusiana na matumizi ya kaunti

Описание к видео Gavana Johnson Sakaja ahojiwa kuhusiana na matumizi ya kaunti

gavana wa Nairobi Sakaja Arthur Johnson, anahojiwa na kamati ya seneti kuhusu uhasibu kuhusiana na ripoti ya matumizi ya fedha za kaunti ya mwaka 20/21, na 21/22. Sakaja ametakiw akujieleza kuhusu kususia vikao kadhaa kama hivyo ambapo amesema kuwa alikuwa kwenye safari za kikazi. tusikize yanayojiri.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке