VITASA ZANZIBAR | Ibra Class vs Khamis Muay Thai | 27/08/2023

Описание к видео VITASA ZANZIBAR | Ibra Class vs Khamis Muay Thai | 27/08/2023

MZIGO UMEFIKA: Ibra Class ‘Mawe’ alivyomaliza kazi raundi ya saba baada ya mpinzani wake Khamis Muay Thai ‘kuomba poo’ kwa kunyoosha mkono juu.

Ni Usiku wa Vitasa ndani ya visiwa vya Zanzibar kwa mara ya kwanza baada ya miaka zaidi ya 30,... ngumi zikipigwa kwenye Uwanja wa mao Tse Tung.

#VitasaNight #UsikuWaVitasa #MzigoUmefika #NgumiZanzibar #BoxingZanzibar #iBRAcLASS

Комментарии

Информация по комментариям в разработке