Kijana auawa baada ya kumjeruhi afisa wa polisi

Описание к видео Kijana auawa baada ya kumjeruhi afisa wa polisi

Kijana wa miaka 22 ameuwawa na maafisa wa polisi katika eneo la Navakholo kaunti ya Kakamega baada ya kumjeruhi afisa mkuu wa polisi wa eneo hilo. Ian Wanjala aliyekuwa ameripotiwa kwa kutishia kumuua mama yake alizua vurugu na kuwalazimu maafisa wa polisi kufika nyumbani kwao ambapo anasemekana kumkata na kumjeruhi afisa mkuu kabla ya kufyatuliwa risasi na kuuawa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке