HKWOOD KUWA NGUVU (Official Music Video)

Описание к видео HKWOOD KUWA NGUVU (Official Music Video)

Stream Kuwa nguvu:
https://distrokid.com/hyperfollow/hkw...
MALGRÉ LA DOULEUR SOIT FORT ✊🏿


Lyrics (paroles chansons):

Allo Allo
Allo Allo
Allo!

Wood!

Aaaaah
Uuuhm uuuummmmmmh
Tafazali kumbuka zamani
Samahani Ku Ku miss sioo utani
Uuuuhmm
Mama huku malali
I see Baba kapata ajali
Mali zote zaishiya hospitali
Nyumbani hamna hali
Kila hodi
Twadahiwa kodi
Na kanii niku kaniana!
Mitaani twakimbiya madeni
Twakimbiya madeni
Maisha magumu
Nilizani itakuwa easy
Ooh ouhmm ooo
Roho nguvu kama nisha
kuwa mwizi.


Japo Magumu
Kuwa nguvu
Yendo katuchanga na magugu
Japo Magumu
Kuwa nguvu
Yendo katuchanga na magugu

Kupata kukosa
Yote mapenzi ya Mungu
Mwisho wa nvua ni juwa
Yatatowa mauwa
Kupata kukosa
Mapenzi ya Mungu
Mwisho wa nvua ni juwa
Yatatowa mauwa


Uuuuhmm uuhmm
Nisha sikiya sina mengi
Najaribu nilipo
Mengi mitiani tu
Mungu yupo tu
Uuuhmm
Haizuru maumivu
Kesho mapitooo
Yatapita [Yatapita]
Ndoto zanitowa joto
Wood
Kichwa kinawaka moto
Wood
Na mtoto sina
[Heeehhh]
Na malipo haina mkopo
Zatoboka mavazi
Nakumbuka wazazi


Japo Magumu
Kuwa nguvu
Yendo katuchanga na magugu
Japo Magumu
Kuwa nguvu
Yendo katuchanga na magugu

Kupata kukosa
Yote mapenzi ya Mungu
Mwisho wa nvua ni juwa
Yatatowa mauwa
Kupata kukosa
Yote mapenzi ya Mungu
Mwisho wa nvua ni juwa
Yatatowa mauwa




@dplatnumz @YouTube @beyonce
@Wasafi_Media @Harmonize255
@ntvkenyaonline @africanboyJUX
@Rayvannychui @BongoBDMovies
@UNBEATABLECULTURE @TVCultura
@RUMEURSDEKINSHASA1
@congolywoodtv @TOPCONGOFM
@ASAKEMUSIC @MavinRecords
@TopViralTalentYT @viralhog @TCMViralVideo95
@Alexandre.artistesnewsoffi7285
@BBCNews @SwahiliMedia @BBCNewsSwahili @UJUMBEWAKWELI

Комментарии

Информация по комментариям в разработке