Tundu Lissu awashukia Nape, Makalla "Katiba ndiyo inayowagawa Watanzania...

Описание к видео Tundu Lissu awashukia Nape, Makalla "Katiba ndiyo inayowagawa Watanzania...

Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amewajibu Waziri wa teknolojia ya habari Nape Nnauye na Katibu wa itikati na mafunzo wa chama cha mapinduzi CCM Amos Makala kuwa yeye hana mamlaka ya kuwagawa watanzania na Wazanzibari bali Katiba ndiyo inayowagawa

Amesema ipo haja ya nchi kupata katiba mpya kwakua katiba iliyopo pamoja na kuwa na mazuri yake lakini imekuwa na Madhaifu makubwa ambayo yamekuwa yakiwafanya wananchi kushindwa kutatuliwa changamoto zao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке